Duration 10:56

ULGSP: ''TUMEDHAMIRIA NA TUNATEKELEZA, Ukipita Mikoani utayaona Mabadiliko''-Waziri Jafo

5 644 watched
0
35
Published 3 Aug 2018

Kupitia Mradi wa ULGSP, Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amezungumza Juu ya Mabadiliko nayozidi Kuyafanya kama Ofisi ya Rais TAMISEMI, Kwenye uboreshaji wa Miundombinu, Pia amesema walianza na Jiji la DSM Lupita Mari wa DMDP, na sasa wako kenye mradi wa ULGSP kenye Halmashauri 18

Category

Show more

Comments - 8