Duration 1:14

Mwizi Wa Mbuzi Apata Adhabu Murang'a

392 615 watched
0
610
Published 11 Jun 2014

Tuelekee mjini Muranga ambako polisi wanamzuilia mshukiwa wa wizi wa mbuzi ambaye alikamatwa na raia na kulazimishwa kumbeba mbuzi huyo hadi kituoni...wakaazi wa eneo hilo walinuia kumwadhibu mshukiwa huyo baada ya kumzungusha sokoni akiwa na mbuzi wa wizi....mwandishi wetu Anne Mawathe na maelezo zaidi...

Category

Show more

Comments - 38