Duration 2:11

Rais MAGUFULI Akutana na Rais Mstaafu MKAPA, Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi, UWT na Mwenyekiti UVCCM I

4 059 watched
0
17
Published 26 May 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyekiti watatu wa Jumuiya za CCM na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin MKAPA Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Category

Show more

Comments - 4