Duration 4:35

PAULA WA KAJALA ALIVYOUPAMBA UBALOZI WA MAMA YAKE, KIMOMBO CHAKE USIPIME

260 370 watched
0
1.2 K
Published 3 Jan 2020

Paula ambaye ni mtoto wa muigizaji na mjasiriamali @kajalafrida amepamba shughuli ya mama yake ambaye alikuwa anasaini dili la ubalozi kutoka kampuni ya pedi za kike ya Rani. Binti huyo wa pekee kwa muigizaji huyo, baada ya kupata nafasi ya kuzungumza na mwaandishi wa habari alimpongeza mama yake na kusema yeye anaishi na wasichana wenzake na anashuhudia changamoto zinazowakabili watoto wa kike wakati wa hedhi.

Category

Show more

Comments - 110