Duration 7:8

KABURI LA SHEHE YAHYA LAJENGWA KIKRISTO NA CHINI YA KIWANGO

150 747 watched
0
190
Published 17 May 2014

MAKUBWA! Kaburi la aliyekuwa Mnajimu Mashuhuri Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein limejengwa tena baada ya hivi karibuni kubomolewa na watu wasiojulikana, lakini sasa limedaiwa kujengwa Kikristo na chini ya kiwango!

Category

Show more

Comments - 80