Duration 5:29

MBUNGE ALLY KESSY AMSHAMBULIA MBUNGE MWENZAKE UMEACHANA NA MUME WAKO BAADA YA KUPATA UBUNGE

30 348 watched
0
169
Published 13 Jun 2020

Category

Show more

Comments - 68
  • @
    @adammjomba15544 years ago Wewe ndungai umesha kua mzee ni wakati wako wa kutenda haki unawadhulumu sana wapinzani hususani wabunge wa chadema hawachangii chochote dk 10 wanazo ongea . ...Expand
  • @
    @dutchsafari75624 years ago Aliyesikia " tulia ww tulia nikupashe ujui chochote" . 4
  • @
    @novesnuhunathan61058 months ago Huyoo dada untill now nyeye aliukosaa.
  • @
    @ameknews23154 years ago Ndugu zangu wa tanzania ninaomba katika uchaguzi wa 2020 tunapotaka kuchagua viongozi naomba tuangalie nani atakuwa muwakilishi sahihi kwetu sio tuangalie ahsante. ...Expand 4
  • @
    @vitalischarles27144 years ago Mh. Raisi funga hili bunge maana limepoteza dira. Personal matter zinageuzwa ajenda kweli mh ndungai muogope mungu. Unakera sana brother. 3
  • @
    @jamaa27604 years ago " kapata ubunge kamwacha mume" 6
  • @
    @solemba5954 years ago Kwa aina hii ya uwakilishaji, tutamiss sana bunge la speed and standards, r. I. P mzee samueli sita.
  • @
    @loishiyesamwel13744 years ago Hili ni bunge la nyuma kabla ya uchaguzi,
    hapa waliofeli ni kessy mwenyewe au pamoja na speaker ndugai.
  • @
    @amotowntz63814 years ago Ndugai muogope mungu ndugu yangu, usilewe madaraka kumbuka mungu ndio speaker mkuu.
  • @
    @khadeejaabdullah70834 years ago Yaan mh kessy jamn uchelewi kutoa povu.
  • @
    @mathiaszakaria70524 years ago Dahhh yaani spika hana double standards kabsa inaonesha anapenda sana wasema ovyo kuliko wasemwa ovyo. 1
  • @
    @salimliemba34584 years ago Dada kaingia cha kiume chezea kessy kamaliza kila kitu. 1
  • @
    @johariismail26464 years ago Speaker angalia kauli hizi zinaghafirisha watu. Bunge linatoka kwenye mipaka na kuwa mipashoo.
  • @
    @philiposhilingi9544 years ago Hahaha jamn mmi ni raia wa nkasi kusini lakin naungana na kesi kwa asimia 50% kwa mabadiliko aliyo yafanya nkas kaskazini kiukwel tunatamani wana nksi . ...Expand 2
  • @
    @husseinkonz51924 years ago Kiboko ya nyumbu wazush ni babu kessy hapendag ujinga. 2
  • @
    @leonardmanyanza10584 years ago Kuhusu bunge lisiwe live hii ndo maana yake. 2
  • @
    @tanzaniayetu69734 years ago Dah hili bunge lisiende kwa uzalilishaji wanamna hii, wanawake watakosa confidence yakueleza mambo yamsingi, alafu utaona tofauti ya mabunge ya wasomi . ...Expand
  • @
    @stevenngussa93343 months ago Ndio maana hakajarudi bungeni haka kazee, shenxi type.
  • @
    @frolasanga4573 years ago Jamani kapata ubunge kaacha mume. Mh! Inasikitisha sana. Loo!
  • @
    @shabaazbikorwa25804 years ago Spika hauko fair ipo siku utakuja kupata matatizo utakapo toka madarakani usiwi na double standards unapo simamia bunge. 4
  • @
    @hajihaji63514 years ago Hawa wabunge hawana tena cha kujadili wamalize tu watokee.
  • @
    @anuarabdullrahman59934 years ago Sema huyu mzee anazingua point zake pumba sometimes.
  • @
    @margarethsaramaki39664 years ago Huyu hafai uwa anaongea hovyo kweli hana ustaarabu.
  • @
    @peterjohn19694 years ago Ndugai chapa kazi usiangalie makelele yawatu wewe angalia hoja niyakweli au la wengine muachie mueshimiwa kesi amalizanenao.
  • @
    @peterjohn19694 years ago Mueshimiwa kesi safisana ao wamama walioacha waumezao wasikuzoee kwaajili ya ubunge wasikuzoee wakazie makahaba wanataka kushindana wanawanaume.
  • @
    @cazoramahussein19984 years ago Et nd spika wa bunge yan anafanya kampen hapohapo math**r f**k.