Duration 2:32

Mfuga Komba wa Unguja

17 698 watched
0
132
Published 24 Jul 2020

'Wewe fuga paka na mbwa na mimi nafuga Komba', unaweza kusema hayo ndiyo maneno ya mzee Abubakari Mohammed wa kisiwani Unguja ambaye amejizolea umaarufu kwa kufuga Komba. Hii ni jamii ya wanyama wa mwituni wanafanana kidogo na nguchiro. Wewe unafuga mnyama gani?

Category

Show more

Comments - 7