Duration 34:44

LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AKI WAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIO WATEUA, IKULU CHAMWINO

129 909 watched
0
1.2 K
Published 20 May 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 may 2020 ana waapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni , wanao apishwa ni 1. Dr. Godwin Oloyce Mollel kua Naibu waziri wa wizara ya Afya 2.Dr. Delphine Diocles Mgere kuwa katibu tawala mkoa wa pwani 3.Dr. Jacob Gideon Kingu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria 4.Balozi mteule Phaustin Martin Kasike kuwa balozi wa Tanzania nchini msumbiji 5. Balozi mteule John Stephen Simbachawene kuwa balozi wa Tanzania nchini Kenya 6.Brig. John Julius Mbungo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya kupamabana na rushwa TAKUKURU. Hafla hii inafanyika ikulu ya Chamwino Dodoma

Category

Show more

Comments - 545
  • @
    @ausmsuya33354 years ago Thanks sana mr president may almighty god guide you, give you healthy and safety.
    indeed almighty god is with us
    stay safe please for our success.
    17
  • @
    @partohmsee59924 years ago God bless your jpm! Your bright leader and uhuru should copy you and allow kenyans hustle while keeping social distance and adhering to safe measures. 13
  • @
    @partohmsee59924 years ago Nani alisema mkenya awezi pata like kwaakubariki milele daima jpm. 67
  • @
    @bercahot1524 years ago We must believe in this blood!
    appreciated.
    11
  • @
    @amazingvideomixtv42324 years ago Uyu ndio rais wetu apa akuna cha nani wala nan gonga like twende sawa. 51
  • @
    @rajabukhalfan30264 years ago We will always appreciate our lovely president jpm he is a hero who believes in what he do and if possible he would lead our country for the rest of his . ...Expand 21
  • @
    @kofiakon20204 years ago If every president in ghana can learn this from this video we can just move forward with light of building our country without limitation.
    this he has come to serve his nation and continent without restriction or selfish interest. ...Expand
    30
  • @
    @faizabbas26904 years ago Raisi magufuli tunakuomba ukuwe raisi wetu wa kenya.
    mm n mkenya lakini magufuli nataka akuwe raisi wetu wa kenya. Naomba likes zenu watanzania.
    154
  • @
    @f.a60434 years ago Yes in god we trust!
    god bless you dr. Jpm.
    4
  • @
    @omarshariff82664 years ago Mimi mkenya lakini wenzangu watanzania nawasihi huyu rais wenu mpeni heshima yake na muithamini sana hii ni bahati yenu musiidharau mukaja jijutia. 84
  • @
    @khamismole36794 years ago If this government could be in kenya surely we could live a peacefully life. 15
  • @
    @raphaellyela42174 years ago Again, my president on time, a man on season. 11
  • @
    @dicksonrigha75884 years ago Mimi ni mkenya, ila kwa kweli makufuli ni mwanaume ni kiongozi wa kuigwa, praying for you sir. 52
  • @
    @partohmsee59924 years ago Live long jpm and be blessed abundantly. 6
  • @
    @abellmainge10234 years ago Corona tanzania pita kuleee. Gonga like twende pamoja kuchapa kazi . 35
  • @
    @wilonjahatua20674 years ago Kama kweli mh rais magufuli anatumika vyema ungana nami hapa. 21
  • @
    @sempaprudence90524 years ago My president am proud of you the was you are discharging yourin a humble approach. My prayer you lead us for the next 20 yrs or else you propose a dedicate president as you do. May god bless you.
  • @
    @tugesyegemwakatumbula98574 years ago Wakenya mnamtamani rais wetu tuungane basi kumuombea ili anavyo fanya mambo mazuri na viongozi wenu waige kutoka kwake. 42
  • @
    @avax57174 years ago I am proud to have such man as my president. 1
  • @
    @masigomhoja51824 years ago Baba yetu mwenyewe uyoo tunakupenda sana raisi wetu. Weka like kwa jpm pia 2020 ni jpm tena. 34
  • @
    @khamismole36794 years ago May god bless you magufuli, not like other leaders their names sounds freedom but they don' t care their people they are all after their stomach. 3
  • @
    @partohmsee59924 years ago Nani mwingine anasema heri magufuli milele. Hit the like button twende sawa. 48
  • @
    @africayetutv3294 years ago This is our beloved president magufuli the man of god' s power, tanzania oyee. 7
  • @
    @elkpddos17814 years ago Proud of him, that is my presedent magufuli no doubt he is the man salute you my lovely presedent spoken true let' s work brothers and sisters in our country what ever in case we will die.
  • @
    @faizabbas26904 years ago Magufuli wewe unafaa ukuwe raisi wetu wa kenya tutakupa kura zetu zote. Gonga likes watanzania nawapenda sanaa watz. One love from kenya. 66
  • @
    @mwesigwakabyemela61124 years ago God bless our president john pombe joseph magufuli. 2
  • @
    @mashashijumanne47914 years ago What a wonderful president! Hakika jpm n chuma cha pua! Mungu akubariki na akulinde zaidi mh rais. 17
  • @
    @nyacherimramba5954 years ago Wale wa singida wenzangu, ebu naombeni like zenu leo jmn. 38
  • @
    @felisterchimtunga70114 years ago I love you mh rais mungu akupe maisha marefu hiyo ndo dua yangu ya kila cku. 26
  • @
    @robertambrose12314 years ago No korona tanzania mungu mbaliki magufuri sana tena mwakani tumrudishe ikulu kama unakubari gonga like. 53
  • @
    @partohmsee59924 years ago Barikiwa sana jpm akuna kiongozi mngwana kama wewe mungu akulinde mchana na usiku. 17
  • @
    @lubadila3594 years ago Mm naona magufuli katumwa na mungu maana sio kwa kazi nzr kama hii. 45
  • @
    @wilonjahatua20674 years ago Kama unamkubali rais magufuli acha majungu na uoga gonga like yako hapa please. 26
  • @
    @sameermilo24924 years ago Well done mr president. Mungu akubariki sana. 17
  • @
    @isayalaizer99934 years ago Baba yetu mwenyewe uyoo tunakupnda sana raisi wetu. Weka like kwa jpm. 94
  • @
    @partohmsee59924 years ago Kenya jameni tulikoseakuja uridhi kenya ndiposa tuokolewe! Kama wewe ni mkenya na unakubaliana nami gonga like twende sawa. 27
  • @
    @sylvesterraymond93714 years ago Napenda kunukuu maneno ya muheshimiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kuwa " mwanamke hupewa hongera na mwanaume hupewa namimi napenda kutoa pongezi zangu kwa muheshimiwa raisi kwa kulitanguliza taifa mbele pamoja na wananchi wake. Mungu akulinde na akupe afya njema. ...Expand 10
  • @
    @partohmsee59924 years ago Kama wewe ni mkenya na umependa wazo la jpm tujuane kwa likes! 39
  • @
    @gracemwaipopo32094 years ago Nakupenda rais wangu, nakuombea saana, natambua unakutana na magumu mengi coz unasimamia ukweli, songa mbele. 16
  • @
    @saidomar68064 years ago Najivunia kuwa mtanzania, nchi ambayo inaongozwa vyema na rais wenye upendo huruma na watetez wa wananchi na wanyonge, ubarikiwe mh rais magufuli kw kaz nzur unayoifanya. 7
  • @
    @dafrozachalukula97454 years ago Dr. Rehema chimbi rc nakupenda sana, mungu akuongoze mama! 6
  • @
    @abuuanwar00764 years ago Magufuli oye, piga kazi baba. Sisi wa kenya tunakupenda sana. Ukimaliza huko uje na huku kwetu. 8
  • @
    @ernestmpompo46374 years ago Jamani hichi chuma kisiondoke mapema madarakani mana si kwa furaha hi tuliyonayo watanzania. 32
  • @
    @PharmacyProfession4 years ago We always appreciate you mr. President. 24
  • @
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG4 years ago Mwamba chuma, miaka 100 mungu azidi kukubaliki. 6
  • @
    @upendohalisi804 years ago Hebu dereva wangu wewe unakolona eti, haha hii nimeipenda, hatuna corona sisi watz tupo vizuri aise na tunaakiri nyingi sana na tunapendwa na mungu baba. 17
  • @
    @ramadhanichaulembo13294 years ago Kingozi shupavu mungu akirinde daima raisi wa dunia zima. 17
  • @
    @kudraahmad60034 years ago Kiukwel maguful sina cha kukulipa ila mimi nipo kwenye folen kuanzia leo kukupigia kura, namuomba mungu upate asilimia mia ya kura 2020 mwezi wa kumi. 33
  • @
    @deborahgodda70524 years ago Wambie baba yetu wanaokuzarau wataumbuka sana. 30
  • @
    @peterjohn19694 years ago Nina kushukulu mungu ulie ziumba mbingu na nchi navyote umezihi lisha unama kusudi nanchi ya tanzania pia asante kwa kutupatia raisi mzuri sana tunampenda kweli. 19
  • @
    @florianmangasini12694 years ago Mungu akubariki sana rais wangu natamani ungeendelea kutuongoza hadi tukae sawa. 4
  • @
    @nancykemunto28994 years ago Raisi mpenda watu wake, mm nimekenya lakini nakupenda sana raisi wa wayonge. 27
  • @
    @luluamri3704 years ago Kenyatta njoo umuone mwanaume akiwa kazini. 63
  • @
    @tinyaanosiatha11184 years ago Simba wa afrca jpm hongera kwa ujasiri ulinao mungu. Akulide. 5
  • @
    @husseinmkakile92064 years ago Nani kafurahi kumuona dereva wa raisi. Kama mimi? Gonga like hapa. 35
  • @
    @japhetpeter16924 years ago Yule wa kwanza kuongea hana kitu ila anariria amani: asante mungu kwa kutupa kiongozi bora. 23
  • @
    @brunompolle14044 years ago Mungu akubariki sana jpm kwakua wewe ni jaguo la mungu so kwauwezo wetu. 5
  • @
    @saidrusuma85234 years ago Jemedali wa africa,
    rais john pombe joseph magufuri!
    14
  • @
    @nyanda4274 years ago God bless you mr president dr. John pombe joseph magufuli. Tanzania tunaweza. 20
  • @
    @halidnangeda15124 years ago Hakika magufuli ni jembe chapa kazi baba 2020 october unapita asubuhi
    ccm oyee.
    16
  • @
    @sekiondowarema17864 years ago Mwenyezi ibarikiafrica mashariki ibariki africa.
    raisi magufuli n jembe kwelikweli.
    4
  • @
    @tonymalando98724 years ago Hili kamanda linatisha haliogopi hata korona. 50
  • @
    @abdallagakweli63664 years ago Yaani mm ni mkenya lkn cna time ya kuangalia rahisi wa kenya akifanya mikutano yke isiyosomeka lkn kwa rahisi maghufuli wallah huwa ckosi kuangalia mikutano . ...Expand 15
  • @
    @benjaminsimon37154 years ago Hakika wewe ni kiongozi kila ninapokuona ninafarijika kwa uongoziwako uliotukuka ninakupenda sana raisi wangu chapakazi mungu ibariki tanzania mungu mbariki magufuli. 9
  • @
    @godykenza82864 years ago Duh eti namba tatu g. Ebanaee huyu mtu noma. Master wa kumeza. 16
  • @
    @alikhamis63364 years ago Rais allah akuongoze kwa hakika unajitahidi na kwa kweli ni mzalendo wa kweli. 5
  • @
    @rukyarukya22304 years ago Allah akuongoze rais wang katika nafasi yako tunakuombea san majaribu yakupitie mbali najivunia kuwa na rais kama huyu alhamdullah. 1
  • @
    @bishopkulwajz2094 years ago Chapa kazi rais wetu tunakupenda na kukuombea afya na maisha marefu. 1
  • @
    @safarikarisa32994 years ago Hongera magu. Wewe ndo rais wa maana xna. Xio uyu kenyatta asiye na maana yeyote. 25
  • @
    @Queen-te3lz4 years ago Mpaka najisikia raha mm jisi raisi alivyo na upendo na wananchi wake. 10
  • @
    @salmadalaquimane23644 years ago Wallah mapenz yangu kwako aya semek i really love u allah akufanyie wepes katka kila jambo lako kipenz chang. 1
  • @
    @davidnyaonge20354 years ago Wale wa lockdown siku14 wangeongeza siku 21 tena. 14
  • @
    @adamuissuja81264 years ago Adam ramadhani issuja hongera sana mheshimiwa rais wewe ni jemedari wa kweli. 2
  • @
    @johnplacid88854 years ago Haya mbowe baba kaja dodoma kama umesikia ukichokozwa sana na wew chokoza kidogo gongalike. 4
  • @
    @williamkivuyo87864 years ago Hongera mheshimiwa rais kwa bidii ya kazi, maendeleo yanaonekana, 13
  • @
    @emanuelminja48464 years ago Mimi nilienda singida nilishangaa sana vilena barabara na kile kituo cha mabasi. Naipongeza sana serikali. Wanasingida muitunze iyo miundombinu msitupe uchafu wala kutupa hata vochawadogo mufagie maeneo yenu naili pabaki safi kila muda. ...Expand 5
  • @
    @dadibindinho37434 years ago Na corona imewakoromea wengi huko
    nakupenda sn rais wangu jpm.
    13