Duration 1:38:11

MTOTO WA KUOKOTA

251 785 watched
0
1.1 K
Published 22 Jan 2021

MTOTO WA KUOKOTA...Filamu hii inazungumzia maisha ya Binti aliyakuwa anaishi maisha magumu nakushindwa kuvumilia ugumu wa maisha anajikuta anashawishiwa na rafiki yake kugombania mashindano ya umisi changa moto inakuja nibaada yaye kuwa anamtoto mdogo ili awe huru analazimika kwenda kumtupa mtoto wake jalalani kusudi awezekupata nafasi yakushiriki katika mashindano ya umiss baada ya kumtelekeza mtoto jalalani mtoto anaokotwa na muokota vyuma chakavu analelewa nakukua katika shida baada ya miaka mingi kupita mama anajikuta anaingia katika penzi zito la mwanae pasina kufahamu..Je nini hatima ya mtoto na mama watakapo kuja kuufahamu ukweli?

Category

Show more

Comments - 332