Duration 3:15

Magoli | Namungo 1-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League

40 918 watched
0
181
Published 22 Dec 2021

Timu ya Namungo FC imepata kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi. Magoli ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir na Emmanuel Martin wakati goli la Namungo likipachikwa na Bigirimana Blaise.

Category

Show more

Comments - 16