Duration 2:48

''WEMA AHUKUMIWA/ WASANII WAACHE MAMBO YA OVYO'' - ALBERTO MSANDO

6 323 watched
0
67
Published 20 Jul 2018

Wakili Alberto Msando Ambae alikuwa Akishughulikia Kesi ya Msanii Wema Sepetu Amesema Kuwa Wema Amefanikiwa Kulipa Faini aliyotakiwa kutoa Hapa Mahakamani na sasa anaweza kuendelea na Maisha Yake kama kawaida. Alberto Msando amewashauri pia Wasanii waachane na Vitu ambavyo havitawasaidia kisaa na wajihusishe kwenye vitu vyenye Maendeleo Katika Career Zao.

Category

Show more

Comments - 21
  • @
    @gloryjimson83536 years ago Hongera sana madam wema nilikuwa nakuombea usiku na mchana uwe salama kipenzi nashkuru imekuwa hivo mungu mwema mamaang mshukuru sana mungu ila usirudie . ...Expand 3
  • @
    @HassanMohamed-iu8hf6 years ago Mungu yupo pamoja na wema twashkuru san wasafi tv kwa kutuletea matukio.
  • @
    @saumuhassan13656 years ago Alhmdulilah, sasa mambo ya hovyo acha my dear wema tunakupenda sana.
  • @
    @ashanasoro17396 years ago Tunakupenda my love achana na hayo mambo ss.