Duration 8:1

KIJIWENONGWA TUKIPIGWA NA WANAUME ZETU HAKUNA KUSAIDIWA

36 703 watched
0
451
Published 19 Dec 2021

#Kijiwenongwa #geahhabibu #GeahTv

Category

Show more

Comments - 134
  • @
    @dianaakello66092 years ago I love this lady hahahahha zai you' re just awesome. 4
  • @
    @darajalakidatukilomgi23622 years ago Zai nakupenda sana lakini haya masuala ya kufanyia utani wanawake kupigwa sio mazuri,
    nawaombenikuna wanawake wengi wamepoteza maisha kutokana na kuchekea tabia za wanawake kupigwa,
    naomba tukemee tabia za upigaji wa wanawake,
    na upigaji wa watoto, sio sahihi tunacheka na kufanya mzaha kwenye suala zima la upigaji,
    tabia ya kupiga inatokana na ugonjwa wa akili, naomba tusilichekee hili jambo
    .
    ...Expand 10
  • @
    @awenasuleiman45193 years ago Zai mungu anakuon sura imeingiy kweny nyavu. 5
  • @
    @zenamshana81402 years ago Yaani mm namsachi zai ili stress ziishe. 2
  • @
    @nassysakia95113 years ago Zai anaongea utumbo mtupu lakini nampenda sana wallah. 15
  • @
    @AfricaYangu2 years ago Zai aise i just love you,
    nikiwa na huzuni nakuja zangu kwa geah hapa namsikilza zai na vituko vyake.
    1
  • @
    @valenakomba92182 years ago Yaani we ma mdogo mii nakupenda sana. Maana unayoongea, ni ya ukweli na ndo maisha yetu. 1
  • @
    @ashaali71543 years ago Huyu mama aende kuwa msanii ataweza sana. 12
  • @
    @shifaaal-baity45033 years ago Masha allah rangi yake nzuri sana zai. 1
  • @
    @catherinendanu75812 years ago Chizi fresh wangu nakupenda bure. Yaani kila nikisikiliza story zako daa zai hata stress za maisha zinanitoroka.
  • @
    @sadatamal36553 years ago Hahaha da zai unaniuwa mbavu zangu wallah billah. 3
  • @
    @hanifaomar74383 years ago Hapo kwamjumbe ndio balaa si kwayes hiyo. 1
  • @
    @user-qm9np2uf9m3 months ago Yani nacheka mpaka nimestopsha hii video kwanzaa ka.
  • @
    @mwatangachuma90692 years ago Mjumbe yes mjumbe krii akiayamungu zai ww.
  • @
    @user-qm9np2uf9m3 months ago Mwanzo nilikua napenda tiktok ila saivi napenda sana youtube.
  • @
    @magrethmallya77282 years ago Jamani da geah, zai atatuua na vicheko.
  • @
    @mkatungu74573 years ago Jamani zai mbavu zangu mie. Nimecheka mpaka machozi na makamasi yamenitoka. Yalabi. 1
  • @
    @Idafa2 years ago Inasikitisha sana. Kama serikali haisaidii kwa nini wanawake hawa fight back? Learn from our neighbor - kenya. Ukora wa wanaume zao unapungua kwa vile . ...Expand
  • @
    @betrackjasson66983 years ago Tulikumiss jamn dada ukowap nije kukutemberea. 1
  • @
    @achievefinancetz2 years ago Dagaa limetoka baharini zikaja kukaangwa! Jamani. 1
  • @
    @hagarbills40233 years ago Zai nakuita mara tatu jamani mbavu zangu mimi. 2
  • @
    @jonathannelson73922 years ago Yaani geah nacheka kama wewe apa, zai kiboko yake.
  • @
    @ghostgenerationtv7662 years ago Zai ananifanya nimecheka kifala kama mweuu.
  • @
    @minormine44172 years ago Zai kwa kutunga mambo! Yaani utafikiri hadithi, hadithi njoo kuna siku moja sungura akamlisha simba jiwe la moto mdomoni. 2
  • @
    @zashairbathandbody20093 years ago Geah kesi ka hizi c za kucheka kabisa. Matokea yake ndo unauwawa. Lazima vitu namna hii serkari ingilie na kuchukua hatua. 1
  • @
    @aloycemsonga50942 years ago Dah hizi sio story za kwenye kahawa kweli.
  • @
    @linahsemindu42613 years ago Da geah naona ukimis kucheka unaenda kwa da zai mana huondok bila kucheka hapo. 2
  • @
    @reginapiusi67502 years ago Kisha zai huwa hacheki yupo siliaz hatar.
  • @
    @YsnTv3 years ago Nyiee nyieee mnapigwa akati watetezi wapo hahah haha. 1
  • @
    @sarafinamwaka83022 years ago Zai anatuchekesha sana lakini yeye yupo mkavu.
  • @
    @fatmahrashidi15332 years ago hahahhaha. Yan zai jmn muongo ww sipat picha ungekuwa mwanaume jmn mbavu zangu.
  • @
    @kitonekantasha16873 years ago Geah sio fresh ulicho post leo sio ulicho post ig mchana. 2