Duration 3:22

BREAKING NEWS: MECHI YA KAGERA NA SIMBA YAAHIRISHWA/SABABU HIZI HAPA MSIKIE KAMISAA WA MECHI HAPA

60 313 watched
0
271
Published 18 Dec 2021

Mpenja Tv imefanya mahojiano na Kamisaa wa Mchezo wa Kagera Sugar Vs Simba Ndugu Nasib Mabrouk kuhusu sababu za mechi hiyo kuahirishwa. . Fungua video hii kupata habari kamili. . #simbasc #kagerasugar #mpenjatv #nbcpremierleague

Category

Show more

Comments - 101
  • @
    @queenmwasanguti23703 years ago Poleni sana watani wetu, mungu awarudishie afya mapema, 7
  • @
    @leonardkayolo73143 years ago Poleni sana wachezaji wetu wa msimbazi. Mungu awajalie mpone soon. 2
  • @
    @queenmwasanguti23703 years ago Weekend imepoa sana, afya njema tunawatakia. 3
  • @
    @lwagamwakalinga80383 years ago Mi si shabiki wa simba lakini inpokuja suala la afya za watu ni vema tuwaombee kupona haraka. Namuomba mungu wa mbinguni awaponye haraka watani zetu simba. 9
  • @
    @bettyzakayoukosaf80363 years ago Je nini maana ya kusajili makoro wameogopa morrison bwalia kukosatu. 1
  • @
    @staralive92603 years ago Hakuna aja ya kutuambia kuwa tanzanll00.
  • @
    @paulm.97913 years ago Mnasema wamekimbia na kama ni kweli wanaumwa wapo serious ikitokea yamatokea yakutokea mtasema nini. Ndugu msicheze na maisha ya watu, ni binadamu na id="hidden2" wana familia kama wewe, mafua yanaambukiza, mmoja akiugua nyumbani nyumba yote wanaumwa, so mnashangaa nini? Haijawaji kukutokea? Hao jamaa wapo kambini inawezekana sana mmoja kaambukiza wote coz wana share almost kila kitu mungu awaponye. ...Expand 6
  • @
    @xhinjikagawa51023 years ago Wasipowalipa kazeni maana kama ni droo muliipata.
  • @
    @deusdeditknkunga60473 years ago So, why on earth did simba travel to. Kagera?
  • @
    @keffajacob89523 years ago Wapeniuwanjani bado wanyongenyongendipo pakuwa kamatia hao wagumu!
  • @
    @meshajoni56623 years ago Ingekuwa no yanga wenzetu mngetutukana,
  • @
    @nasskidy81963 years ago Sasa kama yote yalikamilika si waje uwanjani.
  • @
    @lusajomwankusye6023 years ago Walipeni wachezaji ahadi mliyo wahidi siku ya tar. 11 ya watani wa jadi na malimbikizo yao. 1
  • @
    @asnatlayson30813 years ago Achen ujanja nyie sema mwamsubilia yanga matokeo yake kesho kwani s wamechanjwa chanjo kwaiyo haisaidii kitu. 2
  • @
    @bonifacefilbert73243 years ago Kwani vilabu vina jumla ya wachezaji wangapiulazima kuhailisha mchezo.
  • @
    @asnatlayson30813 years ago Hakuna mgonjwa hapo sema tu mwataka mjue matokeo ya yanga hapo kesho ila hamna lolote nyie kwaiyo chanjo haisaidii kitu sasa chanjo niyann sasa.
  • @
    @nurdinmfamau34933 years ago Simba inakikosi cha wachezaji zaidi ya 25 au 32 kwasababu hizo hazina mashiko wala hoja yakuhairisha mechi. Wachezaji wengine wacheze. Wogan tu. Au ndio mmeanza kuupiga mwingi. 1
  • @
    @kelvinmapunda25893 years ago tunaomba na yanga nayo ihairishe kama ni season influenza bhc ligi zima isimame.
  • @
    @mariasalumu4743 years ago Sasa kwann musingetoa taarifa mapema jamani kusumbua mashabiki bure.
  • @
    @zuberikupaza11843 years ago Hapo mgonjwa ni morrison na inonga ikabidi wasingizie timu nzima!
  • @
    @robertphilip3853 years ago Waongo walichungulia kwenye kibuyunyingi.
  • @
    @leemabibaphotography80533 years ago Uongo mafuwa gani si museme ukweli janja tuuh. 1
  • @
    @innobugobola16943 years ago Uoga tu ingekuwa ndo kagera simba ingepewa point na kagera wangepigwa faini. Mambo ya ovyo kabsa.
  • @
    @frankmayombya56253 years ago Wachezaji wanadai posho na ahadi walizohaidiwa katik mchez wa darby walipeni watapat nafuu.
  • @
    @issasaedy78793 years ago Wamekimbia kama kawaidayao tunawajua ilamwisho watakujatuu watanaswatu hiyoni janjaya tff watakujatuu. 1
  • @
    @habibrwegoshora66243 years ago Huu ni uhuni tu kagera wapewe point zao 3. Hii mala pili sasa toka ligi ianze.
  • @
    @ibrahimmtoni75703 years ago Simba ndo tabia yao wakiona ugumu kdg wanakimbia wanawaogopa hd kagera.
  • @
    @vailethkayombo193 years ago Wajinga sana hao simba wanaofia muchuano huo ndooe maana wameugua gafla.
  • @
    @islafilnassibu18143 years ago Wamechoka wana ogopa ndany yapich wanaeza wakapoteza mchezo wanataka wapumzike kwanza.
  • @
    @paulm.97913 years ago Mnasema wamekimbia na kama ni kweli wanaumwa wapo serious ikitokea yamatokea yakutokea mtasema nini. Ndugu msicheze na maisha ya watu, ni binadamu na id="hidden5" wana familia kama wewe, mafua yanaambukiza, mmoja akiugua nyumbani nyumba yote wanaumwa, so mnashangaa nini? Haijawaji kukutokea? Hao jamaa wapo kambini inawezekana sana mmoja kaambukiza wote coz wana share almost kila kitu mungu awaponye. ...Expand 6