Duration 5:43

Kikwete, Magufuli hawakutusikiliza hadi kaja Samia

5 725 watched
0
57
Published 16 Jun 2021

Category

Show more

Comments - 23
  • @
    @chamritaabdul15923 years ago Aamin yarabby m. Mungu amfanyie wepesi kipenzi chetu mamaetu raisi wetu kipenzi mama samia allah akufanyie wepesi katika uongozi wake inshaallah. 1
  • @
    @kennyrogers47343 years ago Kweli kbs uyo kafa na zambi za watu wengi mnoo tusiwe wanafiki kbsaaa. 2
  • @
    @subiramohd18953 years ago Allah ni mwingi wa mipango alhamdulilah amemuondosha yule kafiri duniani ili mupate nusra yenu na leo mupo huru alhamdulilah akiondoka kafiri mmoja ni nusura kwa waislamu leo tumeliona tena. 4
  • @
    @aliyomar22223 years ago Dah hadi kikwete basi jamani kalipuuzia jambo hili? 2
  • @
    @jsabood3 years ago Mheshimiwa rais mstaafu kikwete hakuweza kutowa dhiki za.
  • @
    @iponamna3 years ago Shoka bila ya mpini haifanyi kazi.
    mnaowataja walikuwa shoka, lakini msisahau na mchango wa mipini iliyoziwezesha shoka kukata.