Jopo la madaktari wa Kitanzania katika Hospital ya Benjamin Mkapa iliyopo jijini Dodoma limefanikisha zoezi la upasuaji na upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wa nne ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika na madaktari wa Kitanzania katika hospital hiyo.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for Jopo la madaktari Hospital ya Benjamin Mkapa wafanikiwa kupandikiza figo: