msanii wa mziki wa kizazi kipya aliiwakilisha bukoba SAIDA KAROLI katika ubora wake leo tumemkumbuka na kuamua kumuenzi kwa kutupia moja ya ngoma yake ya mda mrefu kusupport kazi yake hakika ni talented girl tunakupenda Sana wa bukoba najua mtafurahi sana
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for SAIDA KAROLI (eiyembe song lyrics ) WAHAYA TWENDE SAWA HAPA: