Duration 11:22

Ep. 07 Maharage ya Maziwa

13 581 watched
0
339
Published 2 May 2018

MAHARAGE YA MAZIWA Mahitaji •1/2 kilo Maharage laini yaliyochemshwa •Mafuta yakula vijiko 4 vya chakula au kwakiasi upendacho •vitunguu maji 2 , •Swaumu iliyosagwa kijiko 1 cha chakula •Nyanya 3 kubwa (saga au sugua) •Maziwa fresh vikombe 2 (ongeza zaidi ukipenda) •Chumvi kwa ladha

Category

Show more

Comments - 33