Tukio la mauaji ya dada wa kazi huko Arusha limewashtua zaidi wafanyakazi wa hizi kazi za nyumbani, waomba Serikali kuweka utaratibu maalum wa kuwatembelea na kujua changamoto zao wanapoingia kwenye majumba wanayokwenda kufanyia kazi. wewe una maoni gani katika kukabiliana na Ukatili kwa wadada wa kazi majumbani?