Duration 1:42

KWA MARA YA KWANZA MAGARI YALIVYORUHUSIWA KUPITA BARABARA YA JUU UBUNGO FOLENI IMEPUNGUA

102 133 watched
0
777
Published 30 May 2020

#millardayoUPDATES

Category

Show more

Comments - 272
  • @
    @gyzzo74 years ago Najivunia sana kumpata huyu mtyu kwa sababu zifuatazo
    1: ni mtu wa mungu kwanza
    2: ni mwenye kujali ana upendo na wananchi na nchi yake 3: anatumia hekina katika maamuzi
    4: habagui
    5: hapendi chenga( he' s direct)
    6: si muoga wa kujaribu au kuamua jambo
    7: si muongo sana japoila afadhali anatufungua kwa baadhi ya mambo
    hayo ni yangu naamin na ww una mengi zaid yangu
    msinipe like leo
    .
    ...Expand
    58
  • @
    @dismasmushi35244 years ago Great things done.
    congrats mr. President jpm.
    1
  • @
    @thomasmsechu47844 years ago Anayekubali yanayofanyika hapo ubungo gonga like twende sawa. 74
  • @
    @gulamvira36444 years ago Yes god is always gliding our president magufuli and we witness his dream are fulfilled and inshallah more and more projects are on the way to success and my heartfelt prayers are for you.
  • @
    @sankofaman41124 years ago Tanzania inatia moyo sana! Hii ni ishara tosha kwamba africa tunaweza tukiwa na " viongozi bora" hapa kwetu kenya ni " boramungu m' bariki john pombe magufuli! 5
  • @
    @josephvenus32594 years ago Magufuri is a good leader of tanzania and africa in general.
  • @
    @sulemaniorwa32214 years ago Kwa magufuli, sijaona wa kumreplace. Namkubali sana rais wangu. 51
  • @
    @jenyyusuph49734 years ago Hee jamani dar es salaam imekua dubai? Jamani tusipo mshikilia magufuli mungu atatukasilikia sana. 33
  • @
    @maryambarayan75994 years ago Pongezi nduguzetu kupata kiongozi mchapa kazi. Kwa maoni yangu muacheni madarakani mpaka pale mungu atakapo muita. Mubarikiwe sana my neighbors. 7
  • @
    @fatumahassan82124 years ago Hongera tanzania ni hatuwa pekee ya kuonyesha utumishi bora katika serikali ya awamu ya tano imekuwa na utekelezaji wenye umahirirais ni mfano wa kuigwa. 17
  • @
    @ibrahimayoubdhahabu9844 years ago Hiyo kazi inahitaji kiongozi mzalendo na mwenye chachu ya maendeleo. 22
  • @
    @ferouzmasoud47414 years ago Asante rais wetu magufuri mw/mungu akupe maisha marefu. 3
  • @
    @oman77104 years ago Mashaallah, mungu ibariki tanzania, mungu ibariki africa, mungu wabariki viongozi wetu. 9
  • @
    @wisperfect19604 years ago Mnaonaje tupige kura ya ndio kumuongezea atawale miaka 30 ili nchi yetu isonge mbele zaid? 21
  • @
    @husnahassan62894 years ago Naiyona dubai ya bongo ile soon mashaallah asante rais wangu ww ni zaidi ya mkombozi wetu baba mungu akubariki mno ameen jpm oyeee tanzania oyee. 2
  • @
    @kingjoshuamhuamk25594 years ago Hi ni mzuri sana kwanza kwa kuzingatia bus lanes au brt nimefurahi sana watanzania mpende miradi yenu na muitunzenze na nikiangalia tanzania mko na ardhi . ...Expand 1
  • @
    @azzamahamdu70394 years ago Mashalaah tz nchi yangu naipenda. Zaman ilkua hamna hii. @Maguful babalao. 2
  • @
    @richardboaz-mashagospel23464 years ago Pesa ya watanzania sasa inaonekana very tangible. Naomba katiba ibadirishwe tu mzee wangu kipenzi asitoke mapema aendelee na kutukomboa! Najua akimaliza . ...Expand 2
  • @
    @abuu53684 years ago Mkodrone shooting mliofanya keep it up goid work. 5
  • @
    @eddimalon60514 years ago Very nice magufuli. Wahenga walisema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Thanks
    magufuli, tunategemea mengi zaidi maendeleo. Inshaalwwah.
  • @
    @charlesnkwale93114 years ago Inapendeza, inatia moyo, mungu amubariki mr. Prezide, mungu ibariki na kuilinda nchi yetu tanzania.
  • @
    @henryndosi11144 years ago Magufuli baba lao; kwa maendeleo ya watanzania. 6
  • @
    @iddihassani10814 years ago Hakuna haja ya uchaguzi wamuapishe tu maana kwa haya hata kampuni ya mbowe itasubiri sana labda vizazi vyijavo. 5
  • @
    @nelsonsimtowe42684 years ago Tumuongezee miaka 20 ama 30 nchi ipaee. 35
  • @
    @kingleonard34844 years ago Kwenye uchaguzi mkuu 2020, bila kulazimishwa, wala kuulizwa.
    mimi na miguu yangu, moja kwa moja mpaka kituo cha kupiga kura naenda kumpigia kura salute to you my president.
    mungu aendelee kukulinda na kukupa afya njema
    .
    ...Expand
    1
  • @
    @ismailyusuph7404 years ago Hongera sana serikali yetu.
    nimeona bodaboda mmoja anapita kwenye barabara ya mwendokasi na mtembea kwa miguu mmoja anavuka sehemu siyo. Hili n . ...Expand 2
  • @
    @betridangosi68664 years ago Kuna mataifa wanatamani hata wamnunue rais wetu, siri kubwa anamtanguliza mungu kwa kila jambo. Mungu azidi kukuinua. 1
  • @
    @hamsouledi174 years ago Kiongozi muadilifu mr magufuli hongera sana.
  • @
    @priscacharlescharles90144 years ago Hom sweet hom sweet nani kama magufuli. 1
  • @
    @halimasaleh57054 years ago Hongera kwetu watz wote nchi yetu inapendeza sana. 2
  • @
    @deboradaniel79294 years ago Asante mungu kutupatia kiongozi wa aina hii.
  • @
    @maryamsylivester86624 years ago Mashaallah jamani tanzania yetu inazidi kuvutia. 1
  • @
    @filbertakaro37394 years ago The transportation industry is a very good investment opportunity.
  • @
    @fahadelloufy2704 years ago Magufulification of god save john pombe magufuli. 14
  • @
    @gudbwoy35694 years ago Dar zimefika tatu sasa, miaka mitano ijayo zitakuwa sitaaa. 2
  • @
    @Zetona-wk8de4 years ago Allah ampe afya njema pongezi kwake rais magufuli huu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine naipenda nchi yangu tanzania.
  • @
    @bestscene57304 years ago Jpm2020 hanampinzani lissu katiwe dole. 3
  • @
    @user-rk2ng6up9q4 years ago Kabisa nakubali hongera sana magufuli.
  • @
    @saadababy45304 years ago Heko kwako mr president jpm. Mambo haya tulikuw tunayaona kwny video. 27
  • @
    @mapete21544 years ago Tujipongeze wafanya biashara wazalendo na hii ndio faida ya mapato yetu. 35
  • @
    @amanichomola66964 years ago Kweli kuna baadhi ya boda kunawakati wanahitaji kushtuliwa kwa viboko. 3
  • @
    @jacksonkyando78694 years ago Hii ndio maana halisi ya hapa kazi tu, pongezi kwake jpm 2020 bila kipingamizi. 4
  • @
    @baylamkandwa38954 years ago Yaani had mwaka ambao mm nitanunua gari tanzania yangu ishakuwa kama ulaya. 6
  • @
    @asiaaliy43664 years ago Hongera jp magufuli baba lao 100%jembe la nchi.
  • @
    @leeskillz37344 years ago Had nataman ninunue gari nije huko ubungo nipige misele mungu amjalie nadhani tutajionea mengi zaidi.
  • @
    @adelinaadoloph53114 years ago Magufuri oyee umefanya kaz nzr nakupongeza.
  • @
    @simu20084 years ago Tunaiomba serikali ifanye pia upanuzi wa barabara kuanzia ubungo mpaka magomeni angalau njia 3 kwa 3, kwa sasa ni nyembamba mno, aiendani na hadhi ya hiyo overpass. 6
  • @
    @simonpure1094 years ago Safi sana,ila@ umecheki changamoto ya upumuaji?
  • @
    @freddiemanento63184 years ago God bless tanzania, god bless our preaident and his entire government. Yaani hii inaleta raha jamani.
  • @
    @veronicadickson18594 years ago Tulikuwa tunayaona tuu kwenye tv sasa macho kwa macho, mungu akupe afya njema ili tuzid kushuhudia wema wako. 7
  • @
    @kumbomediaofficial4 years ago Heko kwa serikali. Ayo tv iko vizuri pia.
    halafu fam naomba support yako pia hapandipo pia sisi twainukia.
    14