Duration 29:31

Mzungu, Kuolewa na Mzungu

18 683 watched
0
258
Published 8 May 2018

Haya Wapendwa, Mmeniuliza nimewajibu :) Music: Upo wapi, by Ray C Jifunze mambo mazuri kuhusu sisi Wanawake. Karibu. bonya hapa chini kwenye hii link. www.siri-yamwanamkemkakamavu.com Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante.

Category

Show more

Comments - 115