Duration 13:10

*IJUE HERNIA (NGIRI) NI CHANZO KIKUBWA CHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME DR SHOGORO +

542 watched
0
3
Published 10 Sep 2019

NGIRI NI CHANZO KIKUBWA CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME KUSINYA NA KURUDI NDANI (KIBAMIA) 🌈UFAHAMU UGONJWA WA NGIRI KIUNDANI ZAIDI🌈 Ngiri, ni chanzo cha maradhi mengi na udhoofu wa afya kwa ujumla._ 🌈DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI🌈 Dr SHOGORO +255716426906/0786384934 WhatsApp 0716426906 Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵ 1➡Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2➡Kupiga mingurumo tumboni. 3➡Kujaa gesi tumboni. 4➡Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5➡Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6➡Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa. 7➡Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara. 8➡Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho. 9➡Nuru ya macho hupotea taratibu. 10➡Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika. 11➡Huvutwa makende au upande mmoja maumivu. 12➡Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu. *KWA UPANDE WA WANAWAKE* 1➡Hutokea kuumwa sana na chango asubuhi au jioni au kabla ya kupata siku zake. 2➡Husababisha anaenda haja ndogo mara kwa mara kuwashwa sehemu za siri. 3➡Anapostarehe (jimai) huona adha na dhiki wala hahisi ladha yoyote na dalili nyingine ni ambazo zimetajwa upande wa wanaume. *👉🏿👉🏿👉🏿 WAKATI WA MATIBABU USITUMIE VIFUATAVYO* 1•Wali hasa pilau na matunda yenye ladha kali kama, *2•=Embe, =Ndizi, =Nanasi, =Fenesi, =Muwa, =Vyakula vinavyosababisha gesi* kama, *3•~MAHARAGE•, ~Mahindi•, ~KARANGA•, ~ASALI MBICHI•, ~PILIPILI•, na Vyakula Vya Ngano.* *4•EPUKA NA ACHA KABISA KUNYWA AINA ZOTE ZA SODA.* *5•EPUKA VITU VYA BARIDI NA KIYOYOZI, VILEVILE USIOGE KWA MAJI BARIDI KABISA.* *6•EPUKA KULA SANA NA JITAHID KUFUNGA MARA KWA MARA* *7•EPUKA KUWAZA SANA NA KUKASIRIKA OVIO OVIO.* * *TANBIHI* PENDA KUNYWA MAJI MENGI SANA KILA SIKU. _PENDELEA MLO WAKO USIKOSE MATUNDA NA MBOGAMBOGA._ *NJOO UPATE DAWA INAYO MALIZA TATIZO LA NGIRI NA NGUVU ZA KIUME* 👣Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM, MAKUMBUSHO /soma hii meseji mpaka mwisho Kwa wateja waliopo Dar Es Salaam, ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu, watapelekewa dawa mahali popote walipo. Kwa wateja waliopo mikoani, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi,,, na wale wa nje ya nchi watatumiwa kwa ndege, Aramex, HDL na posta

Category

Show more

Comments - 0