Duration 5:43

JINSI KIUMBE WA AJABU ALIVYOONEKANA ZAMBIA

34 497 watched
0
311
Published 31 Jul 2019

JINSI KIUMBE WA AJABU ALIVYOONEKANA ZAMBIA! Hebu vuta picha, umeenda zako kufanya shopping au kutembea kwenye eneo lenye mkusanyiko wa watu wengi, ghafla hali ya hewa inabadilika, wingu linatanda kama mvua inataka kunyesha hivi! Ukiwa huna hili wala lile, unashtukia kuanza kuona kila mtu anakimbia huku akipiga kelele, unapouliza ni nini kimetokea, unaoneshwa kwa ishara kwamba utazame angani! Lahaula, unaona kitu kama mtu mrefu akiwa anaelea angani, mita chache tu juu! #kiumbewaajabu /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 49