Duration 6:3

Jinsi ya kupika keki ya maziwa ya sona / keki laini ya sona/Sona cake. COLLABORATION

3 802 watched
0
49
Published 2 Oct 2020

#kekiyasona #kekilaini #kekitamu Hadija's kitchen link👇 /channel/UCyMZrMxrZLWlxz8jWAHqzFw Mahitaji👇 1)unga wa ngano vikombe kimoja(nmetumia measuring cup) 2)sukar kikombe kimoja (punguza vijiko viwili) 3)siagi kikombe kimoja 4)arki ya vannila,baking powder kijiko kimoja 5)maziwa ya sona vijiko viwili

Category

Show more

Comments - 17