Duration 6:26

TAMKO la CHADEMA Baada ya TUNDU LISSU Kufungiwa KAMPENI, WAFANYA MAAMUZI HAYA

34 107 watched
0
154
Published 4 Oct 2020

TAMKO la CHADEMA Baada ya TUNDU LISSU Kufungiwa KAMPENI, WAFANYA MAAMUZI HAYA... Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe leo Oktoba 4, 2020 amesema mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu hataendelea na kampeni kwa kipindi ambacho tume imezuia mikutano yake. Amesema; “Tundu Lissu siyo tu ni mgombea wa urais wa chama chetu, huyu ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hivyo hatakosa cha kufanya kwa kipindi cha siku 7. Chama kitampangia program mahususi kama Makamu Mwenyekiti kufanya majukumu ya kijamii na kisiasa.”- Amesema, Watanzania hawatapata ujumbe wa mgombea wa Urais, lakini wataupata ule wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Pia Mbowe ameongeza; “Baada ya kushauriana kwa kina na mgombea wetu wa Urais Zanzibar, Said Mohammed ambaye alikuwa ameteuliwa awali na chama chetu, tumeona ni sahihi kabisa kwa chama chetu kumuunga mkono Seif Sharif Hamad, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo.” ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 84