Duration 5600

Watuhumiwa wa ugaidi Arusha wavua nguo Mahakamani

197 460 watched
0
524
Published 16 Jan 2018

Watuhumiwa katika kesi ya matukio mbalimbali ya ugaidi mkoani Arusha, Leo January 16, 2018 wamevua nguo na kubaki utupu wakati wakishushwa kwenye basi la Magereza la Kisongo walipoletwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Arusha.

Category

Show more

Comments - 42