Duration 20:44

SHEKHE KIPOZEO:RUKSA Kuangalia Mizigo Usipitilize/ DIAMOND/MZEE YUSUPH/ZINAA/Watu wananunua wanawake

270 729 watched
0
1.3 K
Published 20 Apr 2020

Katika kuelekea kipindi hichi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani Shekhe Kipozeo amezungumza na kusema vijana tupunguze zinaa.

Category

Show more

Comments - 323
  • @
    @princemansour67284 years ago Sheikh kipozeo i respected him
    always our sheikh you are talking about educated and wise truths
    we love your
    we love your presenceso much.
    40
  • @
    @leilamehbub9484 years ago My favourite sheikh i like his mawaidhas n examples he' s real n very open mashallah thanks. 1
  • @
    @eddieross25814 years ago Wallahi mimi nakupenda sana allahukubwani, usipoteze elmu yako sheikh wangu. 2
  • @
    @wakilimwatondo92734 years ago I love yourof presentation: appealing! 1
  • @
    @user-gy8lk8te8d4 years ago Sheikh wewe una elimu na hekima ila kuna mambo fulani yafaaunapo kuwa na hawa wasanii huwaambii ukweli, nimeona video zako na hawa wasanii ila unapo hutubia una waukweli wachague kusuka au kunyoa ila uondoe jukumu kukwa allah, wambie nyimbi ni haramu hata maigizo hayo yao ni haram watu waenda uchi, wape ukweli huendaunapoteza hiyo fursa, vile walivyo kuweka karibu jaribu kuwa vuta. ...Expand 2
  • @
    @bellbell92944 years ago Maasha allah sheikh kipozeo allah akupe jannah firdaus jazaka allahu khaira. 7
  • @
    @burudani1454 years ago Carry kumbe nawee unajuagah dawah leo utapata swawabu nying sana. 23
  • @
    @jumason1424 years ago Kijanamwa watangazaji mungu akulinde naamini ukiendelea hivyo utafika mbali una maswali ya msingi kabisa sio i' ll mradi mawwali ili ujaze mda yani nakupa kredi zote ktk tv on line you are among the best. ...Expand 13
  • @
    @rukiamshihiri49114 years ago Amiin shekhe dua yako iwe ya kupokelewa na ijibiwe lnshaallah. 5
  • @
    @eddimalon60514 years ago Verry good man shekhe kipozeo. Una busara sana.
  • @
    @dullydullahsenior7564 years ago Mashaaallah sheikh wng kweli leo nime subscribe kisa hii interview wallahi. 6
  • @
    @zainabomer18334 years ago Napenda mawaidha yako shekhe kipozeo kwanza wapenda kutabasamu. 10
  • @
    @jamilaomari24444 years ago Sheikh kipozeo allah akuzidishie umri.
  • @
    @barakajuniarmgina33344 years ago Nakukubali sana tena sana sheikh wangu.
  • @
    @zrazanzibarrespectiveacade90564 years ago Safi snaa sheikh kipozeo ila lazima amana ihifadhiwe yn kwan ndo msingi.
  • @
    @alihafidhali95894 years ago Ewe allah mwingi wa huruma kwa yalio mema ya rahman allahuma amin nakwayalio maovu ewe subhanallah uliemtakatifu tusameh ya allah hakuna kitu mfano wako . ...Expand 2
  • @
    @kabaisaboy47614 years ago Xawa sheikh kipozeo jazak llahu aillah.
  • @
    @ShazeenBaby4 years ago Shukran sana wallah allal akubariki ameen. 2
  • @
    @hamisisalmah87644 years ago Detoll yani shehe hapana mchezo na ku penda fisabillilah kenya mtuombee pia in sha allah. 2
  • @
    @truthspeaker20624 years ago Kuna watu washafahamu vibaya. Kuangalia mara moja maana yake ni pale ulipoona bila ya kukusudia sio kugandisha tena. Kuna tofauti baina ya kuona na kuangalia. 1
  • @
    @fatmaalnabhani36094 years ago Nimekubaliana sheikh kwa watoto wa zinaa wanaharibu maisha ya watu wengine, mungu atuhifadhi na vizazi vyetu vijavyo, amin. 4
  • @
    @enjiidasnan28514 years ago Nakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah Hapo kwenye kusafiri sheikh hapo wengi wana mtihani kweli.karibu kuskiliza Qur ani
  • @
    @aidankabuko40624 years ago Kama usikia shekhe anasema mwanamke asiye na mzigo kwake kwa dharula sawa, gonga like. 31
  • @
    @latifahmilkah43714 years ago Uzuri wa shehe wetu yeye usema ukweli hajui kuficha walaata. Yeye uweka kila kitu wazi tena mafunzo yake huwa na vichekesho lakini ni kweli. Ndani ya qatar doha mimi ni follower wa sheikh kipoozeo. 6
  • @
    @mwannerajabu86884 years ago Yaan wewe mtangazaji hata kusema amiin unashindwa. 2
  • @
    @fahadsalim37424 years ago Shekhee anakubali mzigo mimi ni nani nikatae. 12
  • @
    @shamsaog29984 years ago Mtangazaji uwe unaangalia maswali ya kumuuliza shekhe, co maswala ya mizigo anavyojibu maswali hayo kila mara yanaweza kumshushia heshma. 17
  • @
    @davoo25554 years ago Hata mm shekh kama ww tu napenda mizigoo. Mizigo mizurii. 2
  • @
    @Africaisnow4 years ago Kweli pande hizi hiki janga likewafanya wakumbuke mungu yuko sio mchezo. 2
  • @
    @anipaesleiman61354 years ago Shekh kipozeo mzee yusuf bado hajarejea taarab anaimba kaswida wamemnukuu vibaya tu. 1
  • @
    @fatmaalnabhani36094 years ago Jee wanaume wanaogawa amana ya wake zao itasemeka lini?
  • @
    @allykota33924 years ago Zalura iyo vp shekhe mbona unatuangusha. 5
  • @
    @amrimzeru29134 years ago Mwanamke asie na mzigo labda kwa dharula. 2
  • @
    @salehaliy74874 years ago Mzee yussuf adanganywa na pumnzi tuu huyo. 3
  • @
    @yasinijuma66464 years ago Mfiraji nae hufirwa. Chagua maneno ya kuongea respect you' re self. 1
  • @
    @edwardmkwelele4 years ago Sasa mbona wachina wenyewe hawatumii hayo mada ya mizigo. 1
  • @
    @mussachicha92114 years ago Mm mwenyewe napenda mwanamke mwembamba. 7
  • @
    @mdzainb37224 years ago Yani shekhe kipoozeo uponvizuri nakupenda san huwa haukosei unapotoa neno. 4
  • @
    @alhaithamiy_4 years ago Subscribe channel yangu kupata nasheed qasweedah na nasaha tofaut.
    shukran.
    9
  • @
    @bornvillagevlog45664 years ago This guy i doubt. He sings reggae behind kanzu. 2
  • @
    @abisinaadili20744 years ago Sheh mi ninamzigo vipi nitafutie mchumba.
  • @
    @tumatuma64784 years ago Subhanallah eti anapenda mwenye mzigo. 3
  • @
    @mofetyendi6914 years ago Sio wewe pekee ndg wengi tunalov tatizo ujasiria wakusema ndo shida ila hata peponi wenye nyama wanatusubiri pia enjoy and don' t panic shekh.
  • @
    @aimfetty16414 years ago Shekh kasema kuna wanawake ukisafiri kidogo tu ana supply. 2
  • @
    @mwaminiwivine28404 years ago Wapeda gono niwanani duniani weyesemamishi acha maswari ya siyo faa hakuna mwenye ana juwa corona iritoka wapi bira mungu wabinguni we achaogeya ogo mbona wanaume wa wazugujo warikufa wake wa ka baki nachaina wana wa danganyiya wanakurachura njomana waripata corona. ...Expand 2
  • @
    @yasinijuma66464 years ago Kwa non unapenda kuongelea matako au shoga.
  • @
    @naamohamed99644 years ago Hapo kwenye mzigo mtangazaji kapapenda san mana hadi kacheka. 2
  • @
    @angelinahogqvist77104 years ago Huyu baba amenigusa. Ila viama upizani du wanarete sisiasa kwa haya.
  • @
    @johsea1224 years ago Mizigo, mizigo, mizigo, unaleweshe wanaume akili zao.
  • @
    @mohdshebe56404 years ago Hata na mie shekhe kipozeo napenda mke awe na mzgo ndio barbara.
  • @
    @mohdshebe56404 years ago Wanaume wote wanapenda mizigo akili hawana kwa mizigo figa.
  • @
    @hamadmussa84024 years ago Shekh wangu umekosea hapo kusema watoto wa nje ya ndo wanaleta vurugu ndani ya nchi. Kwani mimi sikutaka nizaliwe hivyo ili nilete vurugu katika nchi. Ila wazee wetu ndio wenje hatia. Lait wasingefanja wao.
  • @
    @amihogatai84324 years ago Hapo vipi kuhusu umbali? Futi sita kati ya mtu na mtu? Shehe kabolonga kidogo hapo. Marekani haijapata uhuru miaka 400 iloyopita.
  • @
    @doctorpheisaltv62664 years ago Ajabu sana atimae dawa ya bawasili imepatikana na unaweza kujitibu mwenyewe bila kutumia pesa bonyeza hapa 2
  • @
    @user-gy8lk8te8d4 years ago Sheikh hapomtu angalie maramoja, hafai kuangalia hata maramoja, ila kama ameona kwa bahati mbaya ndio hamna shida na hafai kurudisha nadwara yake.
  • @
    @badbeats56374 years ago Backward notions. Nacheka sema its sad. 1