Duration 11:19

Historia ya Rais 'THOMAS SANKARA' Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU

716 077 watched
0
4.3 K
Published 8 Jan 2019

Historia ya Rais 'THOMAS SANKARA' Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU Nchini Burkina Faso katika kipindi cha utawala wa kampeteni Thomas Sankara, mambo yalikuwa shwari mno na hasa hiyo ilitokana na uzalendo wa rais huyo anayetajwa katika historia kuwa ni mmoja wa wapambanaji na wamfano barani Afrika. Lakini hatma ya rais Sankara ni kuuawa kikatili tena na rafiki yake kipenzi kampten Blaise Compaore, hali iliyomfanya Compaore kushika nchi hiyo na kuiongoza kwa miaka 27.Global Tv, imekuletea historia ya kiongozi huyo. #THOMASSANKARA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK /watch/wGU4LG4 .

Category

Show more

Comments - 536