Duration 2:8

KILICHOTOKEA MAHAKAMANI BAADA YA MBOWE KUFIKISHWA, ULINZI WAIMARISHWA

70 594 watched
0
185
Published 6 Aug 2021

Kutokea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amefikishwa kwa ajili ya kesi yake ya uhujumu uchumi na ugaidi ambayo August 5, 2021 iliahirishwa kutokana na tatizo la kimtandao wakati shauri lake lilipopangwa kuendeshwa kwa njia ya Mtandao.

Category

Show more

Comments - 97