Duration 2900

Behind The Scene2 - Joel Nanauka

2 362 watched
0
69
Published 13 Jun 2021

Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo: Soma eBooks Zangu: Whatsapp 0745 252 670 Jiunge na Kozi Zangu : Whatapp 0762 312 117 Pata Vyangu Vitabu Halisi: Piga 0683 052 686 Book Mafunzo / Ushauri Wangu: Piga 0756 094 875 See You At The Top Joel Nanauka. Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii: Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/ Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/ YouTube: /channel/UCned ... #Timizamalengoyako #Seeyouatthetop #JoelNanauka #Nanauka

Category

Show more

Comments - 60
  • @
    @davidogweno54273 years ago Glad to see that there is some good humor on the way to the top! 1
  • @
    @barakanyamafu59373 years ago Pole sana mwalim kumbe kazi hii ningum sana hata ivyo unajitahid unajua unafanya kaz mbil tofauti act and teacherng.
  • @
    @statuslegend14543 years ago Aisee. This shows mna work as a team. Kwenye kucheka mpo wote pia. So enjoying kaka. 2
  • @
    @jonasrobert74913 years ago Jasho likitoka kaka wanapata feeling ambayo inawakumbusha walikotoka.
  • @
    @roi25543 years ago Hahahahaahahahaha nilikuwa nasubiria hii kwa hamu aisee nlikijua tu kipengele hiki usingeweza kukivumilia kucheka. 1
  • @
    @msleny67673 years ago Ikitoka inaamsha mtoto changaa anapolala.
  • @
    @abdlhaleem83803 years ago Abdulhalim from zanzibar. In the air. Joel. 1
  • @
    @samymdundu3 years ago Hhhaahh yeass mpaka watu tukusikilize na kukuelewa sio mchezo. Unafanya kaz ngumu bro sometime napo tucheke kama ivo. Kuna raha yake. Good job bro endelea kutupa dawa tupone.
  • @
    @meshackevance99593 years ago Amken ametoa nyingine dah behind the scene raha sana.
    ahsante mwalimu.
    1
  • @
    @eme_sax14983 years ago Nimecheka nikiwa kwenye daladala kabisa. 2
  • @
    @petroomwisongoo55763 years ago Me napendekeza kila video yako moja uwe una tuwekea behind the scenes kama hivi aise inafurahisha sana yani. 1
  • @
    @bestinamaro76453 years ago Nani kairudia zaidi ya mara tatu3 kama mimi.
  • @
    @lesusi78723 years ago Mwalimu kumbe na ww u nachekaga mpk unainama darasani unakua bz hucheki. 1