Duration 12:54

15 Langoni na Kilonzi

13 553 watched
0
37
Published 12 Mar 2016

Bwana Aman Thani anaendelea kuhojiwa na Profesa Ibrahim Noor katika mwaka 2000. Anaeleza shida zaq gereza ya Langoni. Mwezi wa Ramadhani, Kilonzi (mkubwa wa jela) aliwaachia wafungwa kupokea vyakula vikavu kutoka majumbani. Pia Kilonzi aliwapunguzia saa za kazi na kufanya darasa za dini mwezi huo mtukufu.

Category

Show more

Comments - 8