Duration 4:18

TAMBUA NYAKATI ZA KUKAA KIMYA.

10 726 watched
0
125
Published 4 Dec 2020

#Ukimya#kukaakimya#nyakatizaukimya#Norbypoltv Kuna mda neno ukimya lina umuhimu sana kuliko kuzungumza.Watu wengi tunashindwa kulitumia neno hili badala yake tunajikuta tunazungumza na mwisho wake tuna pelekea ugomvi au na matatizo mengi..Leo nimeona nikuleetee nyakati 5 muhimu ambazo unatakiwa kukaa kimya..naamin kupitia video hii utajifunza mengi sana na utabadilika. Unaweza ukatufatilia kupitia mitandao ya kijamii Facebook: https://m.facebook.com/?subno_key=AaEPsL3zCjrNTocsnD6Boapdu_gDhsdJzI1lb39BqnSx-uq-fUnb1Vq_E-XbvQXvbkjU3jG6szUExG9BfGXgy990AEjyypcuvggAeDGY Instagram: https://www.instagram.com/norby_pol/ Facebook page: https://m.facebook.com/norbypol/?ref=bookmarks Youtube: /channel/UC1t5DWfaWdX3tMZK7PcLIhQ

Category

Show more

Comments - 24
  • @
    @hammerQ9542 years ago Hii namba nne ilinitokea siku ya msiba wa baba yangu kuna rafiki yangu kila mda anakuja kunipa pole dah alikua anazidi kuniumiza mpaka mwisho nikamwambia ooy boi pole zinatosha kwa sasa. 3
  • @
    @stainamwannda37002 years ago Nimejifunza mengi kupitia haya mungu akubariki sana. 1
  • @
    @videotrends12554 years ago Nimejifunza mkuu. Ni lazima kuna wakati wa kukaa kimya. 1