Duration 1:18:59

THAMANI YA MWANAMKE NO2 - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

23 448 watched
0
180
Published 5 Aug 2019

Category

Show more

Comments - 53
  • @
    @afric013 years ago Aslm alkm wtw. Sheikh othman, allah akupe furaha kama unavyo tufrahisha sisi. Ama hakika ndoa za leo ni ndoana na zitabaki kua ndoana hakuna mawadata id="hidden2" wa rahman ndani yake. Kumpa mumeo majina mabaya huzusan jina linalo tokamana na maradhi ni kukosa adabu na heshma. Mumeo ni mumeo, wala hakuna kovu ya mke na mme sikwamba ninawasifu laa. Binafsi nimepitua mengi, na kuwaskia wenzangu kuhusu wanaume wa baya. Allah akulipe mema sheikh wetu kwa kujaribu kutuweka sawa. Wanaume wa leo hawaelewki hataaa. Allah ataleta nusra. Jazakallahusana sheikh wetu. ...Expand
  • @
    @sudyhamdun70414 years ago Shekh nakupend kwaa ajili ya allah asant kwahonger sn. 1
  • @
    @halimakalinga77644 years ago Mashaaallah jazzak la kheri allah azid kukulinda uzid kutufunza.
  • @
    @saeedsaeed73815 years ago Masha allah masha allah sheikh othman mawaidha mazuri unatufunza mapema mengi mema. Mungu akupe afya, furaha, amman and emaan ameen yarab. 5
  • @
    @bellbell92943 years ago Maashaallah shukraan sana sheikh wetu allah akulipe kher.
  • @
    @sadaali86655 years ago Shekh odhman masha allh mpaka naona raha kukusikilza. 1
  • @
    @zayyatiyussuf95665 years ago Mashaallah allah akuzidishie ilimu sheikh. 4
  • @
    @muhammadahmedaliyyu38545 years ago Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh. 2
  • @
    @zainabmaulidi98464 years ago Shukrani sana kwa mawaidh manzuri sheikh othman allah akuzidishie umri mref wenye kheri insha allah.
  • @
    @radhiamussa16295 years ago Ma shaa allah aturuzuku waume wema wenye kuwafanyia hisani wajane pia kuwaongoza vizuri.
  • @
    @jamuasmail1934 years ago Mashaallah sheikh wetu mungu akupe kheiri.
  • @
    @aminamohamed99554 years ago Subhana allah eti kaniacha ivi asante kwa kutuongoa nimejifunza mambo mengi sana.
  • @
    @laylisaid95635 years ago Mashaallah shukuru jazaka allah heli ya rabbi akuzidishi mulimlafu na akupe afiya njema.
  • @
    @aminamohamed99554 years ago Subhana allah asante kwa mawaiza mazur.
  • @
    @rahmasalamalaykum76685 years ago Mashaallah shekhe mungu akuzidishie umri.
  • @
    @issaramadhani97145 years ago Fawaiyda za kheyri na ilmu ktk mahusiano ya maisha ya ndoa tumepata fawaiyda kubwa sana allah mtukufu azidi kukunjulia heri juu ya heri ktk maisha yako . ...Expand 2
  • @
    @aishaaisha90945 years ago Duh kwakweli tutapona kweli kwahizo aina za tabia.
  • @
    @bimumaulid11715 years ago Tumekupata inshaalah tuyafatishe lkn kidogo simu nyingi. 1
  • @
    @yusuphmruma17714 years ago Mwenyezimungu anijaliye aniingize peponi na ww shehe nawaisilamu wote ila shehe umenichrkesha niutani au nikitu kimetokea kweli kisa sukari mwanamke amuite mumeo kishuga.
  • @
    @nasraalismailiy51885 years ago Mashaallah nimependa mawaidha sana samahan lkn sheikh naomba no yako please ninasuali muhim sana na linaniumiza nataka nikulize.
  • @
    @sarahmohamed3375 years ago Shukran sheikh kwa darsa lako zuri. Ila nipo na tatizo ambalo siwezino. Yako ya wats ap kwa hisaniyako.
  • @
    @karistkanuti27475 years ago Natafuta mke wa kuoa wa kiislam, nna miaka 26, mwanamke awe na umri chin y miaka 23, npo kigoma.
  • @
    @kajoakother60414 years ago Kwamaiza natafuta muchumba mahariyangu a isomee juzuu sita akimariza ananiowa nipo boswana.
  • @
    @afric013 years ago Aslm alkm wtw. Sheikh othman, allah akupe furaha kama unavyo tufrahisha sisi. Ama hakika ndoa za leo ni ndoana na zitabaki kua ndoana hakuna mawadata id="hidden5" wa rahman ndani yake. Kumpa mumeo majina mabaya huzusan jina linalo tokamana na maradhi ni kukosa adabu na heshma. Mumeo ni mumeo, wala hakuna kovu ya mke na mme sikwamba ninawasifu laa. Binafsi nimepitua mengi, na kuwaskia wenzangu kuhusu wanaume wa baya. Allah akulipe mema sheikh wetu kwa kujaribu kutuweka sawa. Wanaume wa leo hawaelewki hataaa. Allah ataleta nusra. Jazakallahusana sheikh wetu. ...Expand
  • @
    @issaramadhani97145 years ago Fawaiyda za kheyri na ilmu ktk mahusiano ya maisha ya ndoa tumepata fawaiyda kubwa sana allah mtukufu azidi kukunjulia heri juu ya heri ktk maisha yako . ...Expand 2