Duration 15:26

MWALIMU NYERERE ALIVALISHWA BAIBUI SOKOMATOLA KUJIFICHA KWA WAKOLONI

17 696 watched
0
81
Published 9 Jul 2019

#MbeyaYetuTv Katika harakati zake za kupigania Uhuru wa Tanganyika Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifika mkoani Mbeya na kupokelewa na wapigania Uhuru wakiongozwa na Bi Zeituni Matola ambako kwa sasa panaitwa Sokomatola. Jina hili la Sokomatola limetokana na mwanamama huyu mwanaharakati Bointi ,Matola ambaye alidiriki kumficha Mwalimu Nyerere na kumtorosha kwa kumvalisha Baibui wakati akisakwa na wakoloni, hii ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 1950 kabla ya kuzaliwa Chama cha TANU.

Category

Show more

Comments - 24