Duration 3:41

MAKAME NUHUSI | CHAKALE NI ZAHABU HUSUSAN MCHEZO HUU | ADILABDALLAH

48 881 watched
0
220
Published 21 Mar 2020

#AdilAbdallah #HarusiyaJirani#AdilAbdallahQaswida#AdilAbdallahMakameNuhusi Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

Category

Show more

Comments - 33
  • @
    @shariffaabdalla21704 years ago Wallah raaha wapemba wenzangu tuko pamojaa mnanikunbusha mablii from. 14
  • @
    @sabihahamadi2287last year Haaa makame eti kwanini ukazaliwa na mama yangu utakoma njomba kanituma.
  • @
    @hamedmselem44714 years ago Hahahha saf mwanang tunafurah sana huku michewen muko sawa munatukumbusha mbal dah. 2
  • @
    @salummkubwa4 years ago Ujumbe kwa kutumia fani ya vichekesho, hii nzuri na munapanda juu kwenye upangaji na script writing
    utotoni nakumbuka ukitumwa hadi upite uf id="hidden2"anye ucheza wa gololi ama wowote njiani lakini ukirudi au ukipatikana ni bakora kwa wingi
    . ...Expand 2
  • @
    @husnamtumwa92123 years ago Hhhh yan kama uko mbl kimawaz unatok unajkut unachek saf san.
  • @
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 years ago Umenikumbusha mali duu makame ok piga kz. 1