Duration 12:58

MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA..

35 893 watched
0
130
Published 29 Nov 2019

MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA.. Kesi iliyofunguliwa na Mama mzazi wa marehemu, Bilionea Erasto Msuya, Ndeshikurwa Sikawa, kutaka mke wa Marehemu, Miriamu Mrita, kuenguliwa kwenye usimamimizi wa mirathi ya marehemu mumewe... Kesi hiyo imeshindwa kutolewa hukumu Leo katika mahakama kuu Mkoani Arusha kutokana na jaji anaesimamia shauri hilo kutokuwepo na kesi hiyo imeahirishwa hadi, Desemba 12, mwaka huu.. Ikumbukwe kuwa Familia zote mbili zilipokutana ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, mama huyo alikubali kwenda kufuta kesi hiyo ili wakae kama familia waelewane na wagawe Mirathi hiyo.... YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li

Category

Show more

Comments - 320