Duration 3:7

'Kama mnatukata kodi mkateni hadi Rais '-Mbunge Hussein Bashe

97 190 watched
0
308
Published 15 Jun 2016

Wakati mjadala wa kuijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2917 mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesimama bungeni kusisitiza kama serikali imeamua kuwakata kodi wabunge basi ihakikishe inatekeleza hilo kwa viongozi wote bila kubagua.

Category

Show more

Comments - 62