Duration 3:29

Rufaa kuhusu mchakato wa BBI kushughulikiwa na jopo la majaji saba wa mahakama ya rufani

70 watched
0
0
Published 2 Jun 2021

Rufaa kuhusu mchakato wa BBI zitashughulikiwa na jopo la majaji saba wa mahakama ya rufani. Mahakama imejumuisha rufaa zote kwenye kesi hiyo na zitaanza kusikilizwa tarehe-29 mwezi huu. Wakati wa kikao cha kuratibu mustakabali wa kushughulikia rufaa hizo kilichoandaliwa na majaji watatu, mahakama iliagiza jinsi rufaa hizo zitakavyoshughulikiwa mahakamani kwa kuzingatia kanuni za kudhibiti msambao wa Covid-19. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya

Category

Show more

Comments - 0