@temkezatv43813 years agoTanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza. ...Expand3
@
@abdalasidudu92333 years agoMtangazaj nimekukuba beni namkubar rakin wewe nakukubar unaoji kitaaram kanakwamba wewe no injinia saf kabisa mungu akurinde magu ooye. 4
@
@eischerschwederm78763 years agoMto sio kero wewe. Mto ni blessing, sema ni changamoto. 1
@
@ilynpayne74913 years agoKila nikitaka kum chukia magufuli nashindwa huyu raisi wetu ni bora kuliko. 1
@
@hajibigawa27133 years agoTupate na taarifa za reli ya kati kwani zote twazipenda.
@
@jumanurdin58913 years agoTatizo lililopo kipande cha pili na fidia tu za watu waliopitiwa na raini ya umeme na baazi watu waliopitiwa na mlad huo vitu ambavo walivokua wanavitegemea. ...Expand
@
@lucasmogoile70973 years agoPigeni kazi usiku na mchana hakuna kulala.
@
@beaugosseadam68313 years agoLissu na wa kenya wenzake wanataka lockdown ili kazi isifanyike. Wajama zake wameanza kutengeneza chanjo feke za corona.
@
@mahamudubakari58953 years agoEndelea kutupatia habari hakika nchi yetu kupitia rais magufuli inasonga mbele.
@
@josephemmanuel31753 years agoHiv na ile flyover ya kule makutano yakarume inayofanana na ya tazara mbona hamuitangazi.
@
@todayrusski13883 years agoKweli magufuli na udikteta wake anaweza. 1
@
@salummuhija44353 years agoMita 3. 8 sio mita 38 mtangazaji weka sawa hapo.
@
@mwilemwasenga70663 years agoMoro _dodoma inakamilika lini? maana dar-moro km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika. 2
@
@temkezatv43813 years agoTanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza. ...Expand3
@
@jumanurdin58913 years agoTatizo lililopo kipande cha pili na fidia tu za watu waliopitiwa na raini ya umeme na baazi watu waliopitiwa na mlad huo vitu ambavo walivokua wanavitegemea. ...Expand
@
@temkezatv43813 years agoTanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza. ...Expand3
@
@jumanurdin58913 years agoTatizo lililopo kipande cha pili na fidia tu za watu waliopitiwa na raini ya umeme na baazi watu waliopitiwa na mlad huo vitu ambavo walivokua wanavitegemea. ...Expand
Related videos for MPYA DARAJA LINALOPITA KATIKATI YA MTO KUUNGANISHA MAHANDAKI YA SGR KILOSA HILI HAPA:
maana dar-moro km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika. 2