Duration 11:25

Mama Salma Kikwete Awapasomo Alikiba na Mkewe, Abdulkiba na wanandoa wote

2 084 watched
0
18
Published 31 May 2018

Nimekusogezea dakika 11 kutoka kwa Mama yetu Mpwendwa Mama Salma Kikwete, Aliposimama na kutoa neno kwenye Harusi ya Alikiba na Abdukiba iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam, maneno mazuri sana kwa Wanandoa na hata kwa wale ambao bado hawapo kwenye ndoa, chukua dakika zako 11 jifunze kitu kutoka kwa Mama Salma Kikwete.

Category

Show more

Comments - 1