Duration 48:14

EXCLUSIVE: KINGS MUSIC WAFUNGUKA KUHUSU KUJIUNGA WCB..

73 689 watched
0
841
Published 21 Jun 2019

#EXCLUSIVE: KINGS MUSIC Wapafomu RHUMBA Laivu, "WCB Hatujatuma MAOMBI" Miongoni mwa makundi ya muziki yanayofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa sasa ni kundi la Kings Music, lililopo chini ya mwanamuziki Alikiba, ambalo hivi karibuni wameachia ngoma yao mpya inayoitwa Rhumba... Kings Music wametembelea studio za Global Radio na kupiga stori katika kipindi cha Mwendokas Drive kinachoendeshwa na Mwijaku ambapo kwa mara ya kwanza wamepafomu wimbo wao mpya laivu studio... Tembelea pia Website ya Global Radio (https://globalradio.co.tz/) Kwa Habari na Matukio Mbalimbali ya Burudani kutoka kila kona ya Dunia Tufuatilie pia kwenye Mitandao ya Kijamii, Facebook, Instagram na Twitter Ili Kupata Updates za Matukio yote Facebook : https://www.facebook.com/255-Global-Radio-2162789610482319/ Instagram : https://www.instagram.com/255globalradio/ Twitter : https://twitter.com/255globalradio Ili kupata LIVE matangazo ya #255GLOBALRADIO Kirahisi Zaidi, Pakua App : http://rebrand.ly/255GlobalRadioApp #TUMESHTUKA , #NAWESHTUKA

Category

Show more

Comments - 267