Duration 3:5

TAZAMA NGOMA MPYA KUTOKA KWA GOSPEL RAPA MAO THOBY ft EBENEZER DANIEL -MOTO AU BARIDI AUDIO

1 272 watched
0
38
Published 23 Jul 2020

Mtumishi wa MUNGU mao thoby ft ebenezer daniel wamekuwekea audio ya wimbo wa moto au baridi ikiwa ni kutukumbusha watumishi kwamba Mungu ametuwasa kama unahitaji kumtumikia uwe sehemu moja kama ni moto au baridi maji na mafuta hayakai sehemu moja

Category

Show more

Comments - 26