Duration 5:21

UKWELI KUHUSU IRENE UWOYA | PESA MAGARI UTAJIRI ALIONAO UTASHANGAA | KAHAMIA DUBAI NA KRISH TIZAMA

90 watched
0
2
Published 10 Aug 2021

mwanadada maarufu nchini Tanzania Irene uwoya ambae pia ni mwigizaji mkubwaa East Africa kwenye Bongo movie anazidi kujipatia umaarufu mkubwaa mnoo duniani kutokana na kazi zake za uigizaji . Irene uwoya amabapo mpka sasa hayupo nchini Tanzania anaendelea Kula Raha na mwanae WA kiume Krish huko nchini Dubai UAE tunajua Irene uwoya kashahusihwaa kutoka na mastaaa WA Bongo fleva kama rapper young lunya, dogo janjaa, diamond platinum ,kayumba na wengine kibao SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU SHARE LIKE COMMENT UTAKUW UMEJIHAKIKISHIA KUWA MWANA FAMILY 🌹 HALALI WA AFRICAN RISE TV IG @official_Muzy255

Category

Show more

Comments - 2