Duration 23:39

FULL VIDEO: Nape alivyozuiwa na Polisi alietoa Bastola aje hapa'

528 659 watched
0
1.6 K
Published 23 Mar 2017

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari amepewa Dr. Mwakyembe, Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano. Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo na aliongea na waandishi akiwa juu ya gari

Category

Show more

Comments - 382