Duration 1:7

Bible Exposition - Mafafanuzi Ya Bibilia

786 watched
0
46
Published 21 Sep 2015

Tunawakaribisha kujiunga nasi katika mafafanuzi yetu ya Bibilia ambayo hufanyika mara kwa mara. Je, una maswali kuhusu Bibilia au kuhusu imani ya Kikristo? Basi jiunge nasi kusikia ukweli kulingana na Bibilia! Uliza Kaka Eli Soriano na Bibilia itakujibu! Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa nafasi hii ametupa ili kuweza kujua ukweli kutoka maneno matakatifu ya Bibilia. Yeremia 6:16, ''Hivi ndivyo asemavyo BWANA:“Simama kwenye njia panda utazame, ulizia mapito ya zamani, ulizia wapi ilipo njia nzuri, uifuate hiyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.Lakini ninyi mlisema, ‘Hatutaipita hiyo.’

Category

Show more

Comments - 0