Kwa taarifa zinazosambaa mtandaoni, Msemaji wa Lowassa bwana Liongo amesema Lowassa alijadili mambo matano na Magufuli,; Ikiwemo demokrasia, Bunge Live, Tundu Lissu nk.
Hata hivyo taarifa hiyo inatoa siri kuwa Magufuli alimuomba Lowassa arudi CCM, akakataa katukatu na kusema atafia Chadema.