Duration 5:24

Maswali Matano (5) Ya Kujifanyia Tathimini

29 325 watched
0
662
Published 10 Sep 2018

Ili ufanikiwe kutimiza malengo yako katika maisha ni muhimu kila sana kila wakati uwe unajifanyia tathimini ili ujue kama maisha unaendelea vizuri au hauendelei vizuri Watu waliofanikiwa kila siku kuna maswali takribani matano huwa wanajiuliza katika maisha yao, ili kupata majibu ya ambayo yanasaidia kubaki katika mstari wa mafanikio Na hayo ndio maswali nataka nikueleze leo Subscribe kwenye channel hii ujifunze zaidi https://bit.ly/2PKsFs1 JIFUNZE ZAIDI Mambo 3 ya kufanya ili uondoe stress Maishani mwako https://bit.ly/2ojhWrW Tabia 4 Zinzaopoteza Fedha Zako https://bit.ly/2MZQ8Xt Jinsi Ya Kupanga Bajeti (Tumia 50/30/20) https://bit.ly/2LA00Ti Sababu 4 Zinazowafanya Watu Wakuchukie https://bit.ly/2wndGvV Mitandao ya Kijamii Like https://web.facebook.com/joel.nanauka Follow https://www.instagram.com/joel_nanauka Follow https://twitter.com/jnanauka

Category

Show more

Comments - 138