Duration 2:47

| KILIMO BIASHARA | Wakenya waliohamia nchini Marekani wateka sekta ya kilimo

23 285 watched
0
184
Published 11 Sep 2019

Na kwenye Kilimo Biashara juma hili, Tunavuka mipaka hadi ughaibuni ambako wakenya waliohamia nchini marekani wameteka sekta hiyo kwa kishindo, wakijitosa mashambani kufanya kilimo asili. Mwanahabari wetu Steve Shitera alikuwa mjini Washington DC ambako alikutana na wakenya hawa na kuandaa taarifa ifuatayo

Category

Show more

Comments - 39