Duration 1:54

Maalim Seif: Mgogoro ndani ya CUF usiwayumbishe

1 794 watched
0
10
Published 16 Sep 2018

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema mgogoro uliopo ndani ya chama hicho usiwayumbishe wanachama na badala yake waendeleze umoja na mshikamano na kusukuma mbele harakati za maendeleo ndani ya chama ya Jumuiya zake. Maalim Seif ameeleza hayo wakati wa maadhimisho ya kutimia miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya wanawake JUKE CUF huku Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Fatma Abdulhabib Ferej akiisisitiza jamii kushirikiana katika malezi na kuacha muhali ili kukomesha vitendo vya udhalilishaji visiwani Zanzibar.

Category

Show more

Comments - 2