Duration 1:15:59

SHEIKH KISHKI NA SHEIKH JAFARI MAARUFU SHEIKH MCHAWI. WAWAUMBUA WASHIRIKINA

2 437 825 watched
0
12.3 K
Published 8 Jul 2020

Darasa hii baada ya khutba imetolewa Masjid Ihsaan ( Veternary ) uliopo Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 3/ 7 / 2020 , Muhadhiri Sheikh Nurdeen Kishk , Mada ukigusia maisha mwanadamu juu ya kumshirikisha Allah mada hii inamafunzo makubwa sana na imekemea vikali mambo ya ushirikina na pia baada yakhutba Sheikh Jafari alionesha namna washirikina wanavyowaibia watu , itazame hadi mwisho upate kuelimika.

Category

Show more

Comments - 1260