Duration 5000

WEMA MAHAKAMANI: Atoka nduki kukimbia kamera

5 724 watched
0
23
Published 1 Nov 2018

WEMA MAHAKAMANI: Atoka nduki kukimbia kamera! Msanii wa Filamu, Wema Sepetu, leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akisubiri kusomewa mashtaka ya kusambaa mitandaoni kwa video zake za faragha. Wema amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Novemba 1, 2018,majira ya saa 4 asubuhi akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi huku akisindikizwa na askari wawili ambapo alipelekwa kwenye chumba cha mahabusu cha mahakama hiyo. #WEMAMAHAKAMANI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 22